In spring 2018 I was interviewed by John Juma from DW Kiswahili about the history of Brandenburg Gate. My interview part starts at 1:18 min.
Lango hili limekuwa kama utambulisho wa mji mkuu wa Ujerumani Berlin. Kila siku mamia ya wageni hupiga picha karibu na lango hili. Je unafahamu nini kuhusu lango lenyewe?